JITA logo
  • Nyumbani
  • Kuhusu Jita
  • Kozi zetu
    • Kozi fupi
    • Kozi ndefu
  • Fomu ya kujiunga
    • Kozi fupi
    • Kozi ndefu
  • Matukio
  • Students
    • Admission regulations
    • Fees Structure
    • Mode of payment
    • Download Application form
    • Online application system
  • Mawasiliano
Fomu ya kujiunga

KOZI ZINAZOLEWA


Kozi ndefu

Ususi na urembo

(NVA LEVEL I-II)

Miaka miwili

Ushonaji wa nguo

(NVA LEVEL I-II)

Miaka miwili



Kozi fupi

Ususi na urembo

Miezi 3

Ushonaji wa nguo )

Miezi 6

Upambaji wa kumbi

Mwezi 1

Upishi wa keki

Mwezi 1

Ufumaji wa masweta, kofia nk kwa mashine

Miezi 3

Kudarizi

Mwezi 1

U MC

Mwezi 1

Utumiaji kompyuta

Miezi 3

Ushonaji wa nguo

(NVA LEVEL I-II)

Miaka miwili

Courses

Course Tunazotoa

KOZI YA USUSI NA UREMBO MWAKA MMOJA

Salon Management

800,000

KOZI YA USUSI NA UREMBO MWAKA MMOJA

Utasoma mambo yote ya salon kwa undani, kwa vitendo na pia elimu ya maisha, customer care na communication skills

Tuma maombi
KOZI YA USHONAJI WA NGUO MWAKA MMOJA

Sewing, Design and Cloth Technology

800,000

KOZI YA USHONAJI WA NGUO MWAKA MMOJA

Hapa utafundishwa kushona na kudizaini aina zote za nguo na pia kudarizi mashuka, vitambaa nk. Utafundishwa kwa undani na kwa vitendo zaidi.

Tuma maombi
KUDARIZI VITAMBAA, MASHUKA NGUO NK

Embroidery & Cloth technology

300,000

KUDARIZI VITAMBAA, MASHUKA NGUO NK

Hapa utafundishwa kudarizi mashuka, vitambaa, nguo za aina mbalimbali. Hii ni kozi fupi ya kudarizi ambayo anasoma mtu yeyote hata kama hajui kusoma na kuandika.

Tuma maombi
KUFUMA MASWETA YA SHULE NA DIZAINI ZINGINE, SOKSI, KOFIA, SCARF KWA MASHINE

Basic knitting & Design

300,000

KUFUMA MASWETA YA SHULE NA DIZAINI ZINGINE, SOKSI, KOFIA, SCARF KWA MASHINE

Hapa utafundishwa kufuma masweta, kofia, soksi nk dizaini zote kwa mashine za kadi na za kawaida. Ni kozi fupi kwa ajili ya mtu yeyote bila kujali elimu, umri wala jinsia. Ni kozi nzuri yenye fursa kubwa mtaani kwani shule zinazohitaji masweta ni nyingi na wafumaji ni wachache. Inachukua muda wa miezi miwili tu

Tuma maombi
USHONAJI WA NGUO NA KUDIZAINI (KOZI FUPI) MIEZI  6

Sewing, Design and Cloth Technology

300,000

USHONAJI WA NGUO NA KUDIZAINI (KOZI FUPI) MIEZI 6

Hii ni kwa ajili ya mtu yeyote bila kujali elimu yake wala ufaulu.. Ni kozi inayolenga kumpa mtu ujuzi na uwezo wa kushona nguo aina mbalimbali pamoja na kudizaini mavazi. Hii inafundishwa kwa vitendo zaidi nguo za kike na za kiume.

Tuma maombi
UPISHI NA UPAMBAJI WA KEKI ZA KAWAIDA, ZA HARUSI, KITCHEN PARTY, SEND OFF, BIRTHDAY NA ZA UBUNIFU

300,000

UPISHI NA UPAMBAJI WA KEKI ZA KAWAIDA, ZA HARUSI, KITCHEN PARTY, SEND OFF, BIRTHDAY NA ZA UBUNIFU

Hapa utafundishwa kuoka keki zaidi ya aina 6 pamoja na kuzipamba. Kama keki za harusi, birthday, send off, kitchen party. Unaweza kutumia fondant, lace, wofer paper, nk

Tuma maombi
USUSI NA UREMBO MAMBO YOTE YA SALON KWA UNDANI (MIEZI 6)

Salon Management

600,000

USUSI NA UREMBO MAMBO YOTE YA SALON KWA UNDANI (MIEZI 6)

Hii ni fani ya salon inayochimba kiundani maswala yote ya salon kuanzia kusuka mitindo mbalimbali ya kiubunifu, make up aina zote, facial, manicure, pedicure, malemba, kuset, weaving, dread nk. Pia, somo la customer care wanafundishwa kwa lengo la kumuwezesha mwanafunzi aweze kuwasiliana na mteja wake kwa ufanisi mkubwa na kuwavutia wateja zaidi. Wanapata muda mwingi wa kufanya mazoezi kwa vitendo. Na hii ni kwa mtu yeyote hata kama hajui chochote anakaribishwa

Tuma maombi
USUSI NA UREMBO (MIEZI MITATU) UNAFUNDISHWA MAMBO MUHIMU

Salon Management

400,000

USUSI NA UREMBO (MIEZI MITATU) UNAFUNDISHWA MAMBO MUHIMU

Hapa kutokana na muda kuwa mfupi, mwanafunzi anafundishwa mambo muhimu tu ili aweze kuingia mtaani mapema na kuanza kujipatia pesa kupitia ujuzi wake. Utafundishwa misuko yote muhimu na yenye wateja wengi kama yeboyebo, vitunguu, knotless, croachet, dread (kurepair na kuanzisha) stitch, flat twist nk pia maswala yote ya urembo kuanzia weving, wanja, malemba, mibano, make up zote, kuset, kubond, kushonea, steaming nk.

Tuma maombi
UPAMBAJI WA KUMBI ZA MATUKIO MBALIMBALI KAMA HARUSI, SEND OFF, MIKUTANO NK

Interior and Exterior design

400,000

UPAMBAJI WA KUMBI ZA MATUKIO MBALIMBALI KAMA HARUSI, SEND OFF, MIKUTANO NK

Katika kozi hii utafundishwa kanuni na taratibu za upambaji katika matukio tofauti tofauti, Namna ya kupamba kwa mafanikio makubwa, stage designing, kupamba magari aina tofauti tofauti, kupamba kumbi mitindo ya kisasa na kwa kutumia vifaa vya kisasa. Pia utafundishwa kwa vitendo zaidi katika kumbi tofauti tofauti ndani na nje ya Morogoro.

Tuma maombi


Jita VTC

Mkundi mwisho
Morogoro Mjini
Tanzania

Phone: +255-752 698 691
Email: info@jita.ac.tz

Useful Links

  • Home
  • About us
  • Courses
  • Gallery

Join Our Newsletter

Copyright ©   JITA Vocational Training College-JVTC. All Rights Reserved